Uwanja wa Michezo wa Philippi ni uwanja unaopatikana Cape Town, nchini Afrika Kusini, uwanja huo hutumiwa kwa mechi za mpira wa miguu (soka). Uwanja wa Phillipi ulitengenezwa kama uwanja wa mazoezi na uwanja wa mashabiki wa Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2010. Gharama inakadiriwa kuwa uwanja huo uligalimu milioni R90.