Sofroni, Amaranti, Kwinti na Lusius ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini (Tunisia ya leo) waliofia dini yao.
Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Oktoba.