Shinikizo (kwa Kiingereza "pressure"; ishara yake ni p au P. Matumizi ya P au p inategemea tasnia au taaluma. Mapendekezo ya IUPAC ya kuonyesha shinikizo ni herufi 'p' ndogo.[1] Hata hivyo, herufi P kubwa hutumika sana.) ni kani inayotumika kutoka juu moja kwa moja kwenye uso wa kitu kwenye eneo kani hiyo imesambaziwa[2]
Vipimo
Vipimo mbalimbali hutumika kuonyesha shinikizo. Baadhi yake hutokana na kipimo cha kani kugawanywa na kipimo cha eneo hilo; kipimo cha SI cha shinikizo, Pascal (Pa), kwa mfano, ni nyutonimoja kwa kila mita ya mraba (N/m2, au kilo·m-1·s-2). Jina la kipimo hiki liliongezewa mwaka 1971;[3] mbeleni, shinikizo katika SI ilionyeshwa kama nyutoni kwa kila mita ya mraba..
Shinikizo inaweza pia kuonyeshwa kama shinikizo la anga la kawaida; anga (atm) ni sawa na shinikizo hili, na torr hufafanuliwa kama 1⁄760 ya hii.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shinikizo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!