Saturnini, Faustini na Nafiani ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Januari.