Hii ni orodha ya jenasi za mimea ya familia ya okidi (Orchidaceae) kama ilivyoandikwa mwanzo na L. Watson na M. J. Dallwitz, waandishi wa The Families of Flowering Plants. Orodha hii inaweza kubadilika kutokana na matokeo ya tafiti za kijenetiki.
Kuna nusufamilia tano zifuatazondani ya familia ya okidi (Orchidaceae)[1], nazo ni: