Maria wa Purisima

Maria wa Purisima (jina la awaliː María Isabel Salvat Romero; Madrid, Hispania, 20 Februari 1926 - Sevilia, Hispania 31 Oktoba 1998[1]) alikuwa sista aliyeongoza[2] shirika la Masista wa Msalaba ambalo lilianzishwa na Anjela wa Msalaba ndani ya Kanisa Katoliki ili kuhudumia fukara na wagonjwa waliosahaulika kabisa[3].

Alijulikana kwa kutetea mafundisho ya Mapapa.

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Septemba 2010 na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Oktoba 2015.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba[4].

Tazama pia

Tanbihi

  1. "Blessed Maria Isabel Salvat Romero". Saints SQPN. 14 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Pope Francis will canonize Mother Maria de la Purisima de la Cruz on Sunday". Rome Reports. 17 Oktoba 2015. Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Biography". Madre Maria de la Purisima. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "The Vatican designated 18 September as the feast of St. María de la Purísima". Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 30 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!