Alianza kazi yake akiwa na klabu ya Real Madrid, lakini aliitwaa jina lake kutoka katika klabu ya Bolton Wanderers nchini uingereza na baadaye kwenda katika klabu ya Fiorentina nchini Italia. Mafanikio yake katika klabu ya pili ilimfanya Chelsea kumsajili kwa wastani wa milioni 24 mwaka 2016.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcos Alonso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.