Riccardo, salam. Nd. Riccardo, ile makala ya Fransisko wa Asizi, umeandika safi sana na inaeleweka. Lakini je vipi kuhusu mwaka aliozaliwa huyu bwana unaujua? Natumai utakuwa umeitafsiri kutoka wiki zingine ama sivyo? Natumai ndivyo!! Basi kama utaweza kuandika mwanzo kabisa mwaka aliozaliwa itakuwa bora zaidi. Labada nikupe mfano mdogo: Fransisko wa Asizi (tarehe na mwaka aliozaliwa) alikuwa mtakatifu kutoka nchini Italia. Asizi alizaliwa katika mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia, Italia.... Kisha unaweka kama ndugu na mambo mengine!! Haya basi kama hujaelewa labda umwulize Kipala atakupa habari zaidi!! Kingine usisahau kuweka InterWiki katika makala yako kama ipo katika wiki zingine-[[it:Fransisko of Asizi]] (sijui kwa lugha ya Kitaliano wanahitaje) lakini inategemea na lugha vyovyote vile inaswihi. Kingine kuweka vichwa katika makala, hili nenda kaangalie makala yako utaona nimefanya vipi mpaka kimekuja kichwa cha habari-Fransisko wa Asizi. Sina mengi na nakutakia kheri ya mwaka mpya na furaha tele moyoni!!--Mwanaharakati 05:08, 7 Januari 2008 (UTC)[jibu]
Kuna kitu nimesahau kukueleza. Kuweka jamii au category katika makala, mfano: [[Category:Watakatifu wa Italia]] au [[Category:Watakatifu]] na nyingine ya mwaka aliozaliwa -unaweka mabano kama hayo kisha unaadika (Waliozaliwa 19 na...) kama kafa unaandika Waliofariki (mwaka aliokufa). Natumai utakuwa umeelewa!!--Mwanaharakati 05:20, 7 Januari 2008 (UTC)[jibu]
Hello Riccardo. I've seen in article's history (Tafsiri ya Vishazi na Virai ...) that you removed the image that goes with the article. I thought it's a good Wikipedia practice to communicate with you to inquire for the reason. Dee Soulza (majadiliano) 18:03, 8 Juni 2024 (UTC)[jibu]
Hi Ricardo! helped me to add this Linguistic map of the Sumbawa language to Wikipedia English for the Sumbawa language thanks.
140.213.127.134 16:51, 15 Juni 2024 (UTC)[jibu]
Why don't you yourself add it? I see there a editing war... Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:21, 16 Juni 2024 (UTC)[jibu]
Ndugu Riccardo Riccioni,
Unadhani una muda wa kupitia makala za msingi? Pengine ukatafsiri vichwa vya makala? Nitaangalia namna ya kujaza makala hayo. Lakini nitahakikisha yanakuwemo humu. Unisamehe sana kwa usumbufu. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:59, 20 Juni 2024 (UTC) [jibu]
Ndugu Riccardo,
Kama umetambua hivi sasa majadiliano yako yanaonekana kiduchu sana. Nimeyahifadhi katika nyaraka zako kwa vile ni muhimu sana ziwepo. Pia unisamehe kwa kuja nyumbani na kuvunja vitu pasipo-adabu! Muddyb Mwanaharakati Longa 07:43, 23 Juni 2024 (UTC) [jibu]
No problem! Tuko pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC) [jibu]
Kuna pendekezo hapa. Naomba upige kura; https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wakabidhi#Pendekezo_la_kuondoa_WAKABIDHI_wasio_hai
Amani kwako. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:11, 8 Julai 2024 (UTC) [jibu]
Hello! I can't find the administrators notice board so I write to you because you are the most active admin. All files need a valid license and I noticed that a number of files on Maalum:FailiZisizotumika does not have a valid license.
Some have been nominated for deletion and can be seen in Jamii:Makala kwa ufutaji. Perhaps you can have a look and delete the files? The files in Jamii:NowCommons can most likely also be deleted.
Also GFDL is not a good license for media files so perhaps you can remove it from MediaWiki:Licenses? --MGA73 (majadiliano) 17:45, 17 Agosti 2024 (UTC)[jibu]
Please do NOT use page blanking as deletion replacement, but please always DELETE for real. Kalunde Salome (majadiliano) 13:06, 30 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Kiongozi, nimefurahishwa sana na marekebisho ya kiufundi uliyoyafanya kwenye makala ya changamoto za Kiswahili. Aluta continua. Idumu Wikipidia ya Kiswahili. Dee Soulza (majadiliano) 16:56, 30 Agosti 2024 (UTC)[jibu]
Does SW WP not have an article on childbirth?[1]. Not clear why this one was removed?[2] Doc James (talk · contribs · email) 07:08, 4 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Carissimo Riccardo, Pace! Come stai? Io abbastanza bene!!! A dine mese avremo un nuovo parroco, don Andrea Legranzini, proveniente da Boffalora d'Adda. Lo aspettiamo felici!!!
Ti chiedo, per favore, un piccolo favore, se potessi aprirmi questa piccola pagina in Swahili. Ri invio una bozza:
[[Image:Father Giovanni Losi MCCI.jpg|Right|thumb|220px|Giovanni Losi (1865).]] '''Giovanni Losi''' (amezaliwa [[Caselle Landi]], 29 November 1838 – 27 December 1882) ni alikuwa kasisi wa Kiitaliano na mmisionari [[Kanisa Katoliki|Mkatoliki]] nchini [[Italia]]. Alipewa upadre mwaka 1862, mwaka 1872 alikwenda Sudan pamoja na Daniele Comboni, hadi El-Obeid.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334</ref> aliandika, pamoja na Padre Bonomi, katekisimu na kamusi ya lugha ya Kinubi.<ref>[https://www.comboni.org/fratelli/106304 In Pace Christi - Giovanni Losi]</ref> Baada ya kifo cha Comboni mnamo 1881, alikua mrithi wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336</ref> La traduzuione sarebbe: Ordinato sacerdote nel 1862, nel 1872 andò in Sudan con daniele Comboni, a El-Obeid. ha scitto, con padre Bonomi, un catechismo e un dizionario della lingua Nubiana. Alla morte di Comboni, nel 1881, è diventato il suo successore fino al 1882, anno della sua morte. Grzie di tutto quello che fai per me. Buon fine settimana!!! '''[[Mtumiaji:Rei Momo|Rei Momo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rei Momo|majadiliano]])''' 10:05, 13 Septemba 2024 (UTC) Sarebbe così: [[Image:Father Giovanni Losi MCCI.jpg|Right|thumb|220px|Giovanni Losi (1865).]] '''Giovanni Losi''' ([[Caselle Landi]], [[29 Novemba]] [[1838]] – [[27 Desemba]] [[1882]]) alikuwa [[kasisi]] na [[mmisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Italia]]. Baada ya kupewa [[upadirisho]] [[mwaka]] [[1862]], mwaka [[1872]] pamoja na [[Daniele Comboni]] alikwenda [[Sudan]], hadi [[El-Obeid]].<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334</ref> Huko aliandika, pamoja na padre Bonomi, [[katekisimu]] na [[kamusi]] ya [[lugha]] ya [[Kinubi]].<ref>[https://www.comboni.org/fratelli/106304 In Pace Christi - Giovanni Losi]</ref> Baada ya [[kifo]] cha Comboni mnamo [[1881]], alikua [[mrithi]] wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336</ref>
Rei Momo (majadiliano) 10:04, 13 Septemba 2024 (UTC) [jibu]
Grazie di tutto, per il gradissimo aiuto!!!
Che padre Losi interceda per tutti noi!!! Rei Momo (majadiliano) 06:35, 18 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Grazie di tutto, Pace!!! Rei Momo (majadiliano) 20:40, 19 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Hey Riccardo... The SW Mpox article was linked to the outbreak[3] rather then the disease itself.[4] Have fixed. Doc James (talk · contribs · email) 17:20, 30 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Can you please take a look at Jamii:Makala kwa ufutaji? Thanks, TenWhile6 (majadiliano) 09:51, 24 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]
mwandiko is nothing but redirect to maandishi.
Missing content exists in w:it:jod w:it:sho (lettera) @ w:it:Template:Alfabeto_greco_navbox.
Please import it here, thank you. ~2024-8390 (talk) 17:32, 3 Novemba 2024 (UTC)[jibu]
They tend to mess anonymous users, they are worse than blatant vandals. Example:
~2024-12800 (talk) 14:58, 13 Novemba 2024 (UTC)[jibu]
Example:
PATROLLER twice vandalizes correct IP's correct repair of redirect which requires REDIRECT word to function properly.
FYI: ALREADY banned permanently. ~2024-15320 (talk) 17:15, 18 Novemba 2024 (UTC)[jibu]
Joke edits done back and forth, another example of foreigner who even does not know Kiswahili nor content layout itself. ~2024-24650 (talk) 09:40, 8 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Borhan / Tanbiruzzaman appear to be mutual sock puppets, both are from Bengal Wikipedia and both are doing troubles here. ~2024-24315 (talk) 14:57, 8 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Enough is Enough! Maalum:Michango/HakanIST + Maalum:Michango/Borhan. Talman Talman (majadiliano) 11:39, 14 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
This alone shows what is worth dependence upon not so own hosting infrastructure. It is peak of this foreign intervention scandal, as of 2024 year. We must not bow to this all, never! ~2024-30687 (talk) 17:58, 22 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
What a utter nonsense! Patroller today again reverts perfectly GOOD edits like this: Maalum:Michango/WikiBayer while REAL vandalism like this: Maalum:Michango/Marcleonard_Galus and this Maalum:Michango/~2024-31972 completely escapes their attention. Resnick-mike (majadiliano) 12:46, 24 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
You should undelete them all. Mass Article Deletion with impunity by external interventionists is UNWANTED here. You improved them all already. ~2024-31475 (talk) 12:50, 25 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Maalum:Michango/Ternera - nonsense edit warring against w:en:Wikipedia:Edit_warring#The_three-revert_rule despite of correct header edits from us. Resnick-mike (majadiliano) 17:06, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
R.R. don't be shy, show this RED ATHEIST place in a row, simply because he administratively harasses INNOCENT USERS: http://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:Kumbukumbu/1234qwer1234qwer4 Really, he is petty global admin-snitch who on META tells around the clock that those are norse breiviks, or similar ALIKES! 10:38, 22 Februari 2025 (UTC)
Do you know any Wikipedian who could fix "infobox drug" and "infobox birth control" so those en.wikipedia.org infoboxes also work on sw.wikipedia.org? Thanks. Lucas559 (majadiliano) 21:13, 18 Novemba 2024 (UTC)[jibu]
Even in bigger Wikipedias pages are typically protected for finite time at most. I feel that eternal time is too excessive, and offenders are typically doing disruption for no longer than one year. Can you shorten all these eternal page protections to at least one year? As for now, all related offenders are long gone, and honest "temporary accounts" are unable to edit at all. Jeriba$higanu (majadiliano) 10:09, 9 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Per un'enciclopedia, le fonti dovrebbero essere indiscutibili. Un'enciclopedia non è una fonte primaria: i suoi autori non conducono interviste né compiono ricerche originali. Dunque, qualunque cosa sia inclusa in Wikipedia dovrebbe essere già stata trattata in trascrizioni, ricerche, studi o reportage altrui che abbiano possibilmente goduto di considerazione a livello accademico e/o internazionale. ~2024-25658 (talk) 08:08, 10 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Io lo so, ma altri no. Grazie per avere eliminato molte fonti dubbie. Pace a te! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:17, 10 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Wikipedia:Mkaguzi wa watumiaji - vandalism newpage, delete first, protect second. ~2024-27968 (talk) 08:38, 14 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
this diff shows you reinserted TAB (tabulators), where spaces should normally be. Maalum:Michango/~2024-27447 edited correctly, restoring YOUR version but WITHOUT TAB (tabulators). Can you remove these TAB (tabulators) again? Simple as self-revert in this case. ~2024-27442 (talk) 12:26, 14 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Carissimo padre Riccardo, pace!!!
Ho aggiunto una foto in questa pagina e ti chiederei, per favore, di controllare se la didascalia è esatta. Volevo dire: La strada dedicata a padre Losi, a Caselle Landi. Grazie mille per il tuo prezioso aiuto.
Approfitto per farti tanti auguri di un Santo natale e Buon 2025, tanta Luce del Signore per te. A presto Rei Momo (majadiliano) 14:03, 14 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Orphan talk WITHOUT its article - nothing but nonsense, please delete. ~2024-27365 (talk) 07:50, 15 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
FYI: ON any NORMAL wikipedia talk pages are ALWAYS to be deleted when its page is not existing. Example:
https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Special:Log&page=Talk%3ABijoy+Smarani+University+College
04:11, 15 December 2024 Liz talk contribs deleted page Talk:Bijoy Smarani University College (G8: Talk page of a deleted or non-existent page)
~2024-27882 (talk) 09:11, 15 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
I see you deleted it already. It was sad it was overlooked too long. Resnick-mike (majadiliano) 12:59, 25 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
I lost whole day correcting misedits done by them all. Most problematic user is this Special:contribs/Marcleonard_Galus. ~2024-30796 (talk) 09:09, 22 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
"Macleonard Galus" partially includes vandalisms, I clean after him. Resnick-mike (majadiliano) 08:48, 23 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Position correcte pour {{karibu}} est en "majadiliano ya mtumiaji". Raison: "Vous avez un nouveau message" automatiquement. ErvanElman (majadiliano) 09:59, 25 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
"Karibu" is NOT to be placed on non-talk USER page, because receiver never will get this: "You have a new Talk page message". ~2024-31611 (talk) 18:13, 25 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
Hello Riccardo Riccioni, You are named in a recently filed request to the Universal Code of Conduct Coordinating Committee (U4C). Please review the request at m:Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Cases/Sysop abuse in Swahili Wikipedia
You are requested to enter your statement and any other material you wish to submit, so that the U4C can get a better overview of the situation. All writing should be complete, but also as concise as possible. Please ensure that you make all comments in your own section and in the discussion section only. If the U4C makes a decision, this will be binding for you and so your participation is recommended.
Please do not reply here, but on the linked case page, or on the associated talk page. If you would like to contact the U4C directly, you will find an e-mail address here. Please use the email only if privacy is necessary (e.g. personal information).
Best,
On behalf of the U4C --Civvì (majadiliano) 10:21, 22 Desemba 2024 (UTC)[jibu]
@Riccardo Riccioni: See explanation: Majadiliano:Lugha ya Adamu.
Anna Katharina Emmerick in her revelation was informed, that especially three languages of Baktria, Zendia, India are FIRST EVER descendants of language of Adamu, of course in regard of purity as measure of being LEAST CHANGED from language of Adamu itself.
Please add this to article in Swahili version, I need your effort because I tried to write this sentence in Swahili, and it turned ungramatical. Without this addition, article is still incomplete. Mwanajoka (majadiliano) 10:10, 1 Januari 2025 (UTC)[jibu]
@Riccardo Riccioni: Do him a favor, please. Resnick-mike (majadiliano) 15:45, 19 Januari 2025 (UTC)[jibu]
What I put in "blockquote frame" is technically needed to identify language of Adamu as essentially being RING0 "protoindogermanic" ancestor of RING1 "indoiranic" descendants. It shows that descendant RING2 will be the rest of "indoeuropean" languages, with subsequent "NON-indoeuropean" descendant rings being less and less similar to language of Adamu itself. Mwanajoka (majadiliano) 09:07, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Thou will REGRET all SYSOP-ONLY page protections when WMF desysop thee: https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:Kumbukumbu?type=protect&user=Riccardo+Riccioni ~2025-10150 (talk) 12:12, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Naomba ufute ukurasa tajwa hapo juu ili tuweze kuunga interwiki links zake kwa [[Professor Jay]]. Aliyehamisha mwanzo kutoka Prof. kwenda Joseph hakika hajui alitendalo. Pole kwa usumbufu. Said Mfaume (majadiliano) 14:22, 3 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Ndugu @Riccardo Riccioni natumaini wewe ni mzima wa afya, Kuna makala zinzondelea kuandikwa kutoka kongo nadhani ni editathon inayoendelea uko na sijajua bado kiongozi wake ni nani, bado wanaoandika awana uelewa mzuri kuhusu uandishi wa makala je kunajambo linaweza kufanyika? Justine Msechu (majadiliano) 03:18, 6 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Hello! Can you check if the information on this file page is correct? Perhaps the file should be added to an article? MGA73 (majadiliano) 18:13, 7 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Main Space is not Template Space. It does NOT work with {{}} transclusion. Alfabeti ya kigiriki kamili should be named Kigezo:Alfabeti ya kigiriki kamili which is adminprotected unlinked redirect and this is useless REDIRECT to be sacrificed by deleting first. Please fix your namespace error by redirect deleting and by page moving. Resnick-mike (majadiliano) 12:46, 20 Januari 2025 (UTC)[jibu]
You are CONSTANTLY tricked by redirects, instead of doing REQUESTED lowering protection at:
you did ON YOUR OWN, for ALREADY perfect template state, heightened protection at:
NOTE lowercase "kigiriki" VS uppercase "Kigiriki". Resnick-mike (majadiliano) 11:30, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
My new template exists already crosswiki in 25 languages at least. Thank you for unprotection. At least I finally COPYPASTED content from Alfabeti ya kigiriki kamili to REDIRECT (lowercase kigiriki) kigezo:Alfabeti ya kigiriki kamili which is NOT (uppercase Kigiriki) kigezo:Alfabeti ya Kigiriki kamili. Resnick-mike (majadiliano) 11:39, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Imefanyika.
@Riccardo Riccioni: see Jamii:Makala_kwa_ufutaji - more than ONE superfluous move-leftovers for greek-related template page+talk is to be erased. Resnick-mike (majadiliano) 13:12, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Just removed old misinformation: Disigma is SECTION, not letter, see what GREEKS themselves say: http://lexilogia.gr/threads/pilcrow-σύμβολο-της-παραγράφου-παραγραφόσημο.2426/#post-22012 "section, § = ενότητα, τμήμα, εδάφιο (§, δίσιγμα)". Resnick-mike (majadiliano) 16:29, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
See w:el:wikt:δίσιγμα. Resnick-mike (majadiliano) 16:57, 21 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Not to be rude or something which country are you from? Its just a surprise to see a White man with fluent Swahili Gayle157 (majadiliano) 20:01, 23 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Riccardo Riccioni = Italiano. Kalunde Salome (majadiliano) 10:13, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
@Muddyb I didn't ask your opinion whether he is Tanzanian or not.
You are so rude to be bureaucrat.
I asked him.
You think you are like a god and its so embarrassing that you are on your 40's with that attitude, such a bore Gayle157 (majadiliano) 14:49, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Gayle, please be avoiding all personal attacks, they are totally disturbing. Kalunde Salome (majadiliano) 17:56, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Gayle157, you mistake being shy for being rude. Calm down, please. Resnick-mike (majadiliano) 18:10, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
"Shyness" vs "Rudeness" was meant not about Gayle157, but about Gayle157's assessment of owner of this talk page. Kalunde Salome (majadiliano) 18:52, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
You said Stub is Mbegu in Swahili. If there's no template for Mbegu that should appear at top, then I am going to use Stub. Gayle157 (majadiliano) 08:24, 19 Januari 2025 (UTC)[jibu]
@Gayle157, we have stub-templates, ex. gr. mbegu-mwanasiasa, mbegu-mtu etc. and we use it at the bottom of the page. Almost all pages in Swahili Wikipedia have it. This is why you don't need to insert yours at the top. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:42, 19 Januari 2025 (UTC)[jibu]
I actually found instead of stub i can use *mbegu* at top instead of using **mbegu-** at the bottom, It doesn't impress me, hope you are okay with that Gayle157 (majadiliano) 15:07, 25 Januari 2025 (UTC)[jibu]
Wiki Project Med Foundation is a thematic organization whose mission is to improve our health content. Consider joining for 2025, there are no associated costs.
Additionally one of our primary efforts revolves around translating health content. We invite you to try our new workflow if you have not already. Our dashboard automatically collects statistics of your efforts and we are working on tools to automatically improve formating.
Thanks again :-) -- Doc James along with the rest of the team at Wiki Project Med Foundation 06:23, 26 Januari 2025 (UTC)[jibu]
kwa nini makala niliyochangia ya "MGC" imefutwa na RICCARDO RICCIONI? ~2025-15063 (talk) 05:10, 1 Februari 2025 (UTC)[jibu]
The user @PAULO OBEDI is repeatedly adding requests for financial assistance to articles. This violates the Wikipedia policy on personal financial solicitation and spam. Could an you look into this!, This could be a potential spam
(majadiliano) 06:02, 2 Februari 2025 (UTC) [jibu]
<span style="display:inline-block;transform:rotate(200grad)">}}</span>futa<span style="display:inline-block;transform:rotate(200grad)">{{</span>
||
}}futa{{ ≠ Jamii:Makala kwa ufutaji
Batundi Luanda (majadiliano) 16:49, 2 Februari 2025 (UTC)[jibu]
SUCCESS! UNWANTED pages ceased to show in Jamii:Makala kwa ufutaji. ~2025-15564 (talk) 17:02, 2 Februari 2025 (UTC)[jibu]
Would you Look at this Account, He created another account and keep requesting for money after you blocked him @PAULI OBEDO
(majadiliano) 10:24, 5 Februari 2025 (UTC) [jibu]
It is wrong, it does NOT preserve edit history with list of contributors required by GPL, please FIRST delete mabadiliko ya tabianchi and then move Mabadiliko ya Tabianchi onto it. Norbilian (majadiliano) 12:49, 5 Februari 2025 (UTC)[jibu]
Not only you, but others, PLEASE tell this GAYLE that it is OK this condemnation of NON-REPRODUCTIVE toying with bodies CONTRARY to INBUILT reproductive organ functions, basically UN-natural, so ANTI-functonal. ~2025-23540 (talk) 09:48, 19 Februari 2025 (UTC)[jibu]
@Riccardo Riccioni: Kwa nini makala niliyochangia ya "Jinsi ya Kujitayarisha kuwa Baba Bora" imefutwa na Riccardo Riccioni? Byera08 (majadiliano) 05:46, 11 Februari 2025 (UTC)[jibu]
Utafiti huu hautachukua zaidi ya dakika 5 kukamilisha.
Timu ya Trust & Safety Product hivi karibuni iliunda akaunti za muda zinapatikana kwenye miradi ya wiki 12. Kuna mipango ya kupanua hili kwa seti kubwa ya miradi ya wiki katika wiki na miezi ijayo, kisha kufuata mchakato wa kutekeleza kikamilifu baadaye mwaka huu. Ushiriki wako katika utafiti huu utakuwa na manufaa makubwa katika kutusaidia kuelewa jinsi Akaunti za Muda zinavyofanya kazi na kile tunachoweza kuboresha mbele.
Sera ya faragha ya utafiti huu inaweza kuonwa kupitia kiungo hiki. Kwa kumaliza utafiti huu, unakubali masharti yaliyoainishwa katika sera ya faragha.
Asante!
SGrabarczuk (WMF) (majadiliano) 02:50, 27 Februari 2025 (UTC)[jibu]
I'm writing to inform you that in the U4C case Sysop abuse in Swahili Wikipedia the 2 week "investigation phase" is now open. This phase will last around two weeks, during this phase parties and also other editors can still submit further evidence. We warmly suggest to take this opportunity, each statement can serve to clarify the position of each of the parties involved. Many thanks. On behalf of the U4C --Civvì (majadiliano) 20:58, 3 Machi 2025 (UTC)[jibu]
(Translation by Google translate) Ninakuandikia kukujulisha kwamba katika kesi ya U4C Sysop abuse in Swahili Wikipedia ya wiki 2 sasa "awamu ya uchunguzi" imefunguliwa. Awamu hii itachukua takriban wiki mbili, wakati wa vyama vya awamu hii na pia wahariri wengine bado wanaweza kuwasilisha ushahidi zaidi. Tunashauri kwa moyo mkunjufu kuchukua fursa hii, kila taarifa inaweza kutumika kufafanua msimamo wa kila mmoja wa wahusika wanaohusika. Asante sana. Kwa niaba ya U4C --Civvì (majadiliano) 20:58, 3 Machi 2025 (UTC)[jibu]
Sorry for AUTOMATIC TRANSLATION, please unblock primary account, you made me even REPLYING impossible from my primary account! Jiah Harrison (majadiliano) 10:04, 13 Machi 2025 (UTC)[jibu]
Please delete all pages edited by: special:contribs/~2025-33472 which are nothing but red-link broken redirects, see: special:contribs/DreamRimmer - he failed to tag them all to deletion. ~2025-35189 (talk) 16:58, 19 Machi 2025 (UTC)[jibu]
Ndugu Riccardo, nimetafuta nimempata mchawi wetu wa makala hizo. Ni @Justine Msechu kama nilivyosema hapo awali. Nimeipata Dashibodi->> https://outreachdashboard.wmflabs.org/courses/Wikimedia_Community_Kilimanjaro/Feminism_and_Folklore_in_Tanzania_2025?enroll=dpgcmlqt kadhalika chanzo cha challenge hii; https://meta.wikimedia.org/wiki/Feminism_and_Folklore_2025/Project_Page#Local_Activities/events
Kwako Nd. @Justine Msechu, unaombwa uwajibike kwa matendo yako. Kumekuwa na rundo la makala zisizofaa kwa kutumia challenge hii. Je, ukiwa peke yako utaweza kuboresha matini ya makala elfu mbili? Ama ndiyo bora liende? Tujisahihishe. MuddybLonga 11:53, 23 Machi 2025 (UTC)[jibu]
What's Urbanization in swahili?
(Mtumiaji) 14:49, 21 Aprili 2025 (UTC) [jibu]
Ukuaji wa miji. Sijui kama kuna neno lingine. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:50, 21 Aprili 2025 (UTC)[jibu]