Leo wa Mira (aliuawa Mira, Licia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 au ya 4) alikuwa Mkristo aliyefia dini hiyo katika mji huo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Agosti.[2]
Tazama pia
Tanbihi
|
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|