Kituo cha Ufaransa cha utafiti wa kisayansi (kwa Kifaransa: CNRS au Centre national de la recherche scientifique) ni shirika la wanasayansi la dola la Ufaransa. Kituo hiki kiliumbwa na rais Albert Lebrun mwaka wa 1939.