Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote. Ona namna ya kutaja vyanzo hapa: Wikipedia:Umaarufu na Kutaja vyanzo. Ni lazima kuboresha makala kwa kutafuta vyanzo na kuvitaja kama marejeo, la sivyo sehemu ya makala au yote kabisa inaweza ikafutwa. Unaweza kuondoa kigezo hiki mara baada ya vyanzo sahihi kuwa vimeingizwa katika makala
Anafahamika kwa kucheza filamu za kuchekesha kama vile Ace Ventura: Pet Detective, Ace Ventura: When Nature Calls, The Mask, Dumb and Dumber, Me, Myself & Irene, The Cable Guy, Liar Liar, na Bruce Almighty. Carrey pia amepata mafanikio katika filamu za maigizo kama vile The Truman Show, Man on the Moon, na Eternal Sunshine of the Spotless Mind. Ameshinda tuzo ya Golden Globe mnamo mwaka wa 1999 na 2000. Mnamo mwaka 2008, ameigiza filamu ya Yes Man.
Filamu
Filamu
Mwaka
Kama
Maelezo
The All-Night Show
1980
Sauti
Sauti yake
The Sex and Violence Family Hour
1983
Rubberface
1981
Tony Moroni
Copper Mountain
1983
Bobby Todd
All in Good Taste
1983
Ralph Parker
Buffalo Bill
1984
Jerry Lewis
Finders Keepers
1984
Lane Bidlekoff
The Duck Factory
1984
Skip Tarkenton
Vipindi 13
Once Bitten
1985
Mark Kendall
Peggy Sue Got Married
1986
Walter Getz
The Dead Pool
1988
Johnny Squares
Earth Girls Are Easy
1989
Wiploc
Mike Hammer: Murder Takes All
1989
Brad Peters
Pink Cadillac
1989
Lounge Entertainer
James Carrey
In Living Color
1990–1994
High Strung]'
1991
Death
Doing Time on Maple Drive
1992
Tim Carter
The Itsy Bitsy Spider
1992
The Exterminator
Sauti
Ace Ventura: Pet Detective
1994
Ace Ventura
Alishinda tuzo la Favorite Actor kwenye Kids Choice Awards
The Mask
1994
Stanley Ipkiss
Dumb and Dumber
1994
Lloyd Christmas
Alishinda tuzo la MTV Movie Award for Best Comedic Performance
Batman Forever
1995
Riddler / Edward Nygma
Nominated – MTV Movie Award for Best Villain
Ace Ventura: When Nature Calls
1995
Ace Ventura
Alishinda tuzo la Kids' Choice Award Favorite Movie Actor
The Cable Guy
1996
Ernie "Chip" Douglas
Alishinda tuzo la Kids' Choice Award Favorite Movie Actor
Saturday Night Live
1996, 2003, 2011
Mtangazaji
Liar Liar
1997
Fletcher Reede
Alishinda tuzo za Blockbuster Entertainment Award Favorite Actor – Comedy; MTV Movie Award for Best Comedic Performance
The Truman Show
1998
Truman Burbank
Alishinda tuzo la Golden Globe Award for Best Actor - Motion Picture Drama
Simon Birch
1998
Adult Joe Wenteworth
Man on the Moon
1999
Andy Kaufman (na Tony Clifton)
Alishinda tuzo za Boston Society of Film Critics Award for Best Actor; Golden Globe Award for Best Actor - Motion Picture Musical or Comedy
Me, Myself & Irene
2000
Charlie Baileygates/Hank Evans
How the Grinch Stole Christmas
2000
The Grinch
Alishinda tuzo za Blockbuster Entertainment Award for Favorite Actor – Comedy; Kids' Choice Award for Favorite Movie Actor; MTV Movie Award for Best Villain; People's Choice Award for Favorite Star in a Motion Picture Comedy; Teen Choice Award for Choice Hissy Fit
The Majestic
2001
Peter Appleton
Pecan Pie
2003
Dereva
Filamu fupi
Bruce Almighty
2003
Bruce Nolan
Alishinda tuzo za Kids' Choice Award for Favorite Movie Actor; MTV Movie Award, Mexico, for Most Divine Miracle in a Movie; Teen Choice Award for Choice Movie Actor – Comedy
Eternal Sunshine of the Spotless Mind
2004
Joel Barish
Lemony Snicket's A Series of Unfortunate Events
2004
Count Olaf
Alishinda tuzo za People's Choice Award for Favorite Funny Male Star; Teen Choice Award for Choice Movie Bad Guy
Fun with Dick and Jane
2005
Dick Harper
The Number 23
2007
Walter Sparrow / Fingerling
Horton Hears a Who!
2008
Horton
Sauti
Yes Man
2008
Carl Allen
Alishinda tuzo za MTV Movie Award for Best Comedic Performance; People's Choice Award for Favorite Funny Male Star
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jim Carrey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!