Jeradi Majella

Sanamu ya Jeradi Majella ya kabla ya mwaka 1905.

Jeradi Majella (Muro Lucano, Italia 6 Aprili 1726Caposele, 16 Oktoba 1755) alikuwa bradha wa shirika la Mkombozi.

Kwa kushikwa na upendo wa dhati kwa Mungu, kila alipoishi alishika maisha magumu kiasi kwamba alifariki dunia katika ujana wake, ameteketezwa na ari yake kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na ya wokovu wa watu [1].

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 29 Januari 1893 akatangazwa na Papa Pius X kuwa mtakatifu tarehe 11 Desemba 1904.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Oktoba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!