James Phillipo Musalika (amezaliwa tar. 24 Septemba 1957) ni mbunge wa jimbo la Nyang'hwale katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.