In America: The Story of the Soul Sisters ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2010 iliyoongozwa na Rahman Oladigbolu . Nyota wake ni Jimmy Jean-Louis na Roger Dillingham Jr.[1][2]
Ni filamu iliyoshinda tuzo ya Best Film by an African Living Abroad katika tuzo za 7th Africa Movie Academy Awards mwaka 2010 katika tamasha la Roxbury International Film Festival mjini Boston, Massachusetts.[3]
{{cite web}}