"I Can't Live Without My Radio" ni single kiongozi kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, Radio. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 kupitia studio za Def Jam Recordings na zote -litungwa na kutayarishwa na LL Cool J na Rick Rubin. Wimbo huu ulipata mafanikio mwanana, imeiweka katika nafasi ya #15 kwenye chati za Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks na mpaka leo hii huhesabiwa na wengi kwamba ni moja kati ya nyimbo bora za hip hop zilizowahi kurekodiwa. I Can't Live Without My Radio ilitolewa na single -liofuatia I Can Give You More.