Hifadhiya Taifa ya Maria Moroka imepewa jina la Chifu Maria Moipone Moroka wa kabila la Barolong huko Thaba Nchu. [1] Hifadhi hii ya taifa iko karibu na Thaba Nchu katika wilaya ya Mangaung katika mkoa wa Free State, Afrika Kusini .
Hali ya hewa
Hifadhi ya kitaifa inajumuisha uoto wa nyasi. Eneo hilo ni eneo la mvua za kiangazi na mvua nyingi hunyesha kati ya mwezi Novemba na Machi.