Green Valley School ni Shule ya binafsi ya Kijerumani,Kiinereza na Kiarabu [1] inayopatikana katika eneo la mji wa Obour katika mjii mkuu wa Cairo, shule hii ilianzishwa mwaka 1998 nchini Misri ,ni shule inayotoa pia elimu ya awali kwa watoto wadogo [2] Ni shule inayofanya kazi kwa mashirikiano na na shule ya Zukunft schools, ya nchini Ujerumani .[3]