Alikuwa mke wa kwanza wa mkurugenzi wa filamu Ezz El-Dine Zulficar. Alionekana mara ya kwanza kwenye filamu mnamo 1939,wakati alipokuwa na umri wa miaka saba tu . Majukumu yake ya awali yalikuwa madogo, lakini shughuli na mafanikio yake ya taratibu yalimsaidia kumtambulisha kama mwigizaji mashuhuri wa Misri.Baadaye aliheshimiwa kama ikoni ya sinema misri. Mwaka 1996, filamu tisa ambazo alicheza zilichaguliwa katika filamu mia moja kwenye historia ya misri sinema wakaguzi wa filamu katika maonyesho ya kimataifa ya filamu la cairo .[2]
Marejeo
↑"Filmography". IMDb. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2006.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑Abd al Min'em, Ghada. "Hamama, a revolution!" (kwa Kiarabu). Palestinian Cinema Group. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Oktoba 2006. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2006. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faten Hamama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!