Eroni, Atne, Isidori na Dioskoro (walifia dini Aleksandria, 250) walikuwa Wakristo wa Misri ambao waliteswa vikali na hatimaye kuuawa kwa imani yao katika dhuluma ya kaisari Decius.
Kwa amri ya hakimu, watu wazima walichomwa moto, kwa sababu walidumu katika imani wasishindwe na mateso mbalimbali waliyopatiwa, kumbe mtoto Dioskoro, baada ya kupigwa mijedeli mara kadhaa, alichanwachanwa mwili mzima [1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
|
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|