Makala hii imepangwa kwa mfululizo: Siasa na serikali ya Kenya
Eneo bunge la Nyaribari Masaba ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo tisa ya Kaunti ya Kisii.