Cláudio Hummes

Cláudio Hummes

Cláudio Hummes, O.F.M. (8 Agosti 19344 Julai 2022) alikuwa mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Brazili.

Aliwahi kuwa msimamizi wa Baraza la Makleri kutoka 2006 hadi 2010, na awali alikuwa Askofu Mkuu wa Fortaleza kuanzia 1996 hadi 1998 na Askofu Mkuu wa São Paulo kutoka 1998 hadi 2006. Akiwa mwanachama wa Shirika la Ndugu Wadogo na mtetezi wa haki za kijamii, alifanywa kardinali mwaka 2001.[1]

Marejeo

  1. Risen, Clay (2022-07-13). "Cardinal Cláudio Hummes, Close Ally of Pope Francis, Dies at 87". The New York Times (kwa American English). ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2022-07-16.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!