Cecil of Chelwood

Cecil of Chelwood

Cecil of Chelwood au Lord Robert Cecil (14 Septemba, 1864 hadi 24 Novemba, 1958) alikuwa mwanasiasa ma mwanasheria kutoka nchi ya Uingereza. Mwaka wa 1937 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya kazi yake katika ubunifu wa Shirikisho la Mataifa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecil of Chelwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!