Batazoni, Palemoni na Garuma ni kati ya mapadri wa Ethiopia walioishi vizuri imani yao.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Juni.