Welcome Duru (1933–2009) alikuwa ni mwigizaji, promota wa masumbwi, mtunzi, mwanamuziki, mwanasiasa na mshughulikiaji wa mambo ya jamii pia alijulikana kama Bra Wel.
Maisha ya awali
Duru alizaliwa huko Korsten (Port Elizabeth), Afrika kusini, lakini kutokana na kulazimishwa kuhama makazi akajikuta akiishi katika mji wa watu weusi huko New Brighton. Mnamo mwaka 1952 alianza kuwepo kwenye kikundi cha a cappella kilichojulikana kwa jina la The Basin Blues, ambacho ndicho kilikuwa kikundi cha kwanza cha watu weusi huko Port Elizabeth kurekodi muziki wao ndani ya studio.
Marejeo