Visiwa vya Andamani na Nikobari ni eneo la muungano wa jamhuri ya India.
Linaundwa na mafunguvisiwa ya Andamani na Nikobari kwenye Bahari ya Hindi, isipokuwa visiwa vichache vilivyo chini ya Myanmar.
Kwa jumla ni kilometa mraba 8,249. Wakazi ni 380,500 (2012). Lugha inayotumika zaidi ni Kibengali.
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
---|
Majimbo | | |
---|
Union territories | |
---|
Maeneo yanayodaiwa na nchi jirani pamoja na Uhindi | |
---|