Derik John Baker, anajulikana kama Virginia To Vegas, ni mtunzi, mwanamuziki, na mwimbaji alizaliwa Marekani na ambaye ni raia wa Kanada. Anaishi Toronto, Ontario.[1][2]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Virginia to Vegas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|