Uwanja wa michezo wa Agege

uwanja wa Agege Lagos

Uwanja wa michezo wa Agege ni uwanja wa michezo wenye kazi nyingi. Uwanja huu upo Lagos, nchini Nigeria.[1] Una nafasi kwa watazamaji 4,000.[2] Ni uwanja wa nyumbani wa MFM F.C. ambayo ni timu ya kitaifa ya mpira wa miguu ya wanawake chini ya miaka 17. Tangu mnamo mwaka 2018 ni pia nyumbani kwa timu ya kike ya DreamStar F.C..

Uwanja wa Lagos hutumika kama uwanja wa nyumbani kwa Ligi ya Wanawake ya Nigeria na Klabu ya Ligi Kuu ya Nigeria MFM, ambayo iliwakilisha nchi hiyo mnamo mwaka 2017.[3]

Marejeo

  1. "Lagos FA Cup Finals Hold Monday At Agege Stadium", P.M. News, 6 April 2015. Retrieved on 10 September 2015. 
  2. "New Agege Stadium: Lagos Commend Fashola", Nigeria Infrastructure News, 25 February 2011. Retrieved on 25 February 2011. 
  3. "Agege Stadium will be ready for Champions League –Lagos", Punch Newspapers. (en-US) 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Agege kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!