Upimaji dunia ulianza katika zamani za kale kabla ya sayansi. Kizamani ilidhaniwa kwamba umbo la Dunia ni bapa na mbingu ni kuba lisilovukika. Ingawaje, watu wengine walidai kupatwa kwa Mwezi, ambapo Dunia inaweka kivuli cha duara kwenye Mwezi, na mambo mengine ni bayana ya Dunia kuwa tufe. Mitazamo hii ya wapimaji dunia wa kale ilija kuthibitisha kwamba Dunia ndiyo tufe.
Ili wapimaji dunia waratibishe kazi zao, mifumo mbalimbali ya majiranukta imeundwa. Kabla ya kubuni satelaiti, mifumo ya majiranukta iliyofasiliwa kutumia kituo cha upimaji dunia, kitu kama vile nguzo kutoka ambapo vipimo vyote vinatendwa. Kituo hicho kingekuwa nukta (0,0) katika mfumo wa majiranukta. Hata hivyo, siku hizi wanasayansi hutumia satelaiti zinazoweza kupima kwa usahihi kuliko watu walioko duniani.[3]
B. Hofmann-Wellenhof and H. Moritz, Physical Geodesy, Springer-Verlag Wien, 2005. (This text is an updated edition of the 1967 classic by W.A. Heiskanen and H. Moritz).
W. Kaula, Theory of Satellite Geodesy: Applications of Satellites to Geodesy, Dover Publications, 2000. (This text is a reprint of the 1966 classic).
Vaníček P. and E.J. Krakiwsky, Geodesy: the Concepts, pp. 714, Elsevier, 1986.
Torge, W (2001), Geodesy (3rd edition), published by de Gruyter, ISBN3-11-017072-8.
Thomas H. Meyer, Daniel R. Roman, and David B. Zilkoski. "What does height really mean?" (This is a series of four articles published in Surveying and Land Information Science, SaLIS.)
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Upimaji dunia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!