Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 157,369 [1].
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 105,780 kati ya hao Wanaume ni 51,566 na Wanawake ni 54,214. [2].
Majimbo ya bunge
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Unguja Kaskazini 'A' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!