Adetomi Aleshinloye (anajulikana pia kama 'Tomi Favored'; alizaliwa 20 Machi 1987) ni msanii wa nyimbo za Injili na mtunzi wa nyimbo mwenye asili ya Nigeria.[1][2]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tomi Favored kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|