Tilone (kwa Kifaransa: Thillon, Tillon, Til, Theau; aliishi karne ya 7) alikuwa mwanafunzi wa Eligius wa Noyon, aliyekuwa fundi na mmonaki huko Solignac karibu na Limoges katika mkoa wa Akwitania, leo nchini Ufaransa[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 7 Januari[3].
Tazama pia
Marejeo
|
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|