Ni kwamba mwaka 1951 China ilishambulia jeshi la Tibet ikalazimisha serikali ya Tibet kukubali ya kwamba ni sehemu ya China kwa ahadi ya kwamba mambo ya ndani yataendelea jinsi yalivyokuwa awali.
Lakini mnamo 1958maafisa wa China walianza kumtendea Dalai Lama (kiongozi wa Tibet) kwa dharau. Dalai Lama alikimbilia Uhindi na jeshi la China likakandamiza harakati ya watu ya kurudisha uhuru wa nchi.
Tangu mwaka 1959 kuna Watibet wengi wanaokaa Nepal na Uhindi kama wakimbizi. Ndani ya Tibet idadi ya walowezi Wachina iliongezeka.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!