"There's Got to Be a Way" ni wimbo ulioandaliwa na mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Ric Wake na kutayarishwa na Wake kwa ajili ya albamu ya Mariah yenye jina lake mwenyewe ya Mariah Carey iliyotoka mwaka 1990.
Wimbo huu ulitoka kama single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu hii, iliyotoka mwishoni mwa mwaka 1991 nchini Marekani na masoko mengine ya barani Ulaya. Ili kundlea kushikilia rekodi ya kufikisha nyimbo katika nafasi ya kwanza mfululizo, wimbo wa There Got to Be a Way haukutoka nchini Marekani. Wimbo huu haukutangazwa sana nchini humo, badala yake ulitolewa wimbo wa I Dont Wanna Cry ambao haukufanikiwa kuingia katika nyimbo arobaini bora kitu ambacho nyimbo zake tatu zilizotangulia zilifanikiwa kuingia. Ulifanikiwa kufika katika nafasi ya 54 na hivyo kufanikiwa kuingia katika nyimbo sabini na tano bora.
Video ya wimbo
Video ya single hii iliongozwa na Larry Jordan, ikimwonesha Carey akitembea barabarani huku akilalamikia watu maskini na subaguzi.Baadae anaonekana kuunganika na marafiki wengine wanakuwa umati wa watu
Orodha ya nyimbo
CD single #1
- "There's Got to Be a Way" (album version)
- "There's Got to Be a Way" (7" remix)
CD single #2
- "There's Got to Be a Way" (album version)
- "I Don't Wanna Cry"
CD maxi-single #1
- "There's Got to Be a Way" (album version)
- "There's Got to Be a Way" (12" remix)
- "There's Got to Be a Way" (alt. vocal club mix)
CD maxi-single #2
- "There's Got to Be a Way" (album version)
- "I Don't Wanna Cry"
- "There's Got to Be a Way" (12" remix)
UK CD maxi-single
- "There's Got to Be a Way" (album version)
- "There's Got to Be a Way" (7" remix)
- "Someday" (7" jackswing mix)
- "Vision of Love"
Chati
Chati (1991)
|
Ilipata Nafasi
|
UK Singles Chart[1]
|
54
|
Marejeo
|
---|
Studio albamu | |
---|
Kompilesheni | |
---|
Albamu za live | MTV Unplugged (1992) |
---|
Kompilesheni za video | |
---|
Ziara | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|