Stand United FC ni klabu ya mpira wa miguu yenye maskani yake katika mji wa Shinyanga, Mkoa wa Shinyanga, Tanzania . Waliwahi kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, daraja la juu zaidi la ligi ya mpira wa miguu nchini Tanzania. [1] [2]
Michezo ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Kambarage uliopo mjini Shinyanga, ambao watazamaji wanauwezo wa kukaa tu na hauna nafasi ya kusimama.
Viungo vya nje
Tanbihi