Sandra A. Mushi
|
Alizaliwa
|
28 Februari 1974
|
Nchi
|
Tanzania
|
Kazi yake
|
Msanifu
|
Sandra Aikaruwa Mushi (alizaliwa 28 Februari 1974) ni mwanamke Mtanzania ambaye ni msanifu wa mambo ya ndani ya majengo na mwanzilishi wa kampuni ya Creative Studios Limited mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1].
Pia ni mwanachama wa International Interior Design Association na The African Institue Of Interior Design Professions[2] na mwandishi wa hadithi[3][4] na mashairi[5] yanayolenga matatizo na changamoto wanazopata wanawake na watoto.
Hadithi zake
- A Choice
- A Leaking Roof
- Bride Price
- Family Business
- Her Eyes
- Her Mother
- Imbeciles
- Jasmine
- Kokushiba
- Lunch
- Miscounted Dreams
- Oil On Water
- Shattered Dreams[6]
- Stupid Women
- Stains on My Khanga (Mkusanyiko wa hadithi fupi), Hadithi Media, Centurion (Gauteng, South Africa) 2014, ISBN13 9780620584753[7]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandra A. Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|