Rushwa (pia: chai, chauchau, chichiri, chirimiri, hongo, kadhongo, kiinikizo, kilemba, mlungula, mrungura, mvungulio n.k.) ni aina ya mwenendo usio wa uaminifu au usiofaa kwa mtu aliyepewa mamlaka, kumbe anatumia nafasi hiyo ili kupata faida binafsi.
Ufisadi unaweza kuhusisha shughuli nyingi ikiwa ni pamoja na rushwa na udhalimu, ingawa inaweza pia kuhusisha mazoea ambayo ni ya kisheria katika nchi nyingi.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rushwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!