Robert Woodrow Wilson

Robert Woodrow Wilson

Robert Woodrow Wilson (amezaliwa 10 Januari 1936) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Arno Penzias na Pyotr Kapitsa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tazama pia


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Woodrow Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!