Robert "Bob" Amsterdam (alizaliwa 1956)[1] ni mwanasheria wa kimataifa kutoka Mkanada anayefanyia kazi shirika la kisheria liitwalo Amsterdam & Partners, ambalo ofisi zake zinapatikana Washington, D.C. na London.[2][3][4]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Amsterdam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|