Riadha ni neno lenye asili ya Kiarabu linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara, kama vile kutembea, kukimbia, kuruka na kurusha kitu. Michezo hiyo yote haihitaji vifaa vingi, hivyo ni rahisi kabisa.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Riadha kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!