Poitiers ni mji wa Ufaransa wa Kati kando ya mto Clain wenye wakazi 91 000.
Ni mji wa kale unaotembelewa na watalii kwa sababu ya majengo mengi ya kale.
Poitiers ndio mji mkuu katika mkoa wa Poitou-Charentes.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Poitiers kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.