One Hundred and One Dalmatians (kwa Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 kutoka Marekani. Ilitayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii. Hii ni filamu ya kumi na saba kutolewa katika mfululizo wa filamu za Disney almaarufu kama Walt Disney Animated Classics. Filamu ilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 25 Januari 1961.
Washiriki
Marejeo
Viuongo vya nje
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu One Hundred and One Dalmatians kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|