andika namba asilia zote kwenye karatasi kuanzia 2 hadi namba unayotaka kuifanyia utafiti kama ni namba tasa au la. Usiandike 1 kwa sababu iliyotajwa juu.
anza kwa 2.
futa vizidisho vyote vya namba tasa unazozijua au kuzigundua.
anza na 2 na vizidisho vyake kama 4,6,8,10 na kadhalika.
endelea kwa kufuta 3 (namba tasa inayofuata) na vizidisho vyake kama 6,9,12 na kadhalika.
sasa unarudia kuangalia chanzo cha orodha. Namba inayofuata isiyofutwa ni namba tasa tena. Katika mfano huu utakuwa ni 5. Endelea kufuta vizidisho vyake.
Kwa njia hii unarudia kuangalia orodha upya na kugundua namba tasa zote zilizomo.
Matumizi
Kuna matumizi ya namba tasa katika maisha ya kila siku kwenye namba za siri za kadi za benki au kadi za simu pia kwenye simu za mkononi. Nuymba ya namba ya siri mara nyingi ni zidisho la namba tasa mbili kubwa. Ni rahisi kuzidisha namba tasa mbili lakini ni kazi kubwa mno kugundua zao ilikuwa tokeo la namba zipi.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Namba tasa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!