Mikoa ya Kenya
Mkoa wa Nyanza
Nyanza Province
|
|
Makao Makuu |
Kisumu
|
Mji Mkubwa |
Kisumu
|
Eneo
- Jumla
|
Nafasi ya 6 kati ya mikoa ya Kenya 12,507 km²
|
Wakazi
- Jumla (2007) - Msongamano wa watu / km²
|
Nafasi ya 3 kati ya mikoa ya Kenya 4,889,700 391/km²
|
Lugha mkoani
|
Kiluo Kigusii Kikuria
|
|
Nyanza ni mkoa wa magharibi ya Kenya kando la ziwa Viktoria Nyanza. Mji mkuu ni Kisumu. Mkoa umepakana na Tanzania, Uganda halafu mikoa ya Kenya ya Magharibi na Bonde la Ufa.
Nyanza ina wakazi zaidi ya milioni tano. Walio wengi ni Waluo, halafu Wakisii, Wakuria na Waluhya.
Wilaya