Mission to Rescue; ni filamu ya mapigano iliyoandaliwa nchini kenya mwaka 2021, chini ya muongozaji Gilbert Lukalika.[1]Filamu hii ilichaguliwa kuwa filamu bora ya kimataifa katika maazimisho ya 94th ya chuo cha tuzo.[2]Filamu hii imejikita kwenye uhalisia wa tukio lililotokea mwaka 2011 ambapo wanamgambo wa Al-shabaab walivamia watalii kutoka Ufaransa wakiwa nchini Kenya.
marejeo
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mission to Rescue kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|