Wenyeji wanaoishi maeneo haya ni Wasambaa, ndiyo maana ikaitwa milima ya Usambara. Iko katika mkoa wa Tanga kuanzia Korogwe kuelekea kaskazini mpaka karibu na milima ya Upare.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Usambara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!