Michael James Sis (amezaliwa Januari 9, 1960) ni askofu kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki. Amekuwa akihudumu kama Askofu wa Dayosisi ya San Angelo huko Texas tangu 2013.[1][2]
Marejeo
|
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|