Martha Mwaipaja, aliyezaliwa mwaka 1980, ni mwimbaji na mtunzi maarufu wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania. Amejipatia umaarufu mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na sauti yake yenye nguvu na ujumbe wa kiroho katika nyimbo zake.
Changamoto za Kibinafsi
Pamoja na mafanikio yake ya muziki, Martha amekutana na changamoto za kifamilia. Kuna madai kutoka kwa baadhi ya wanafamilia kwamba ameshindwa kuwasaidia, ingawa anajihusisha na kusaidia wengine nje ya familia.
Albamu
Albamu ya Martha Mwaipaja ambayo inajulikana zaidi ni Ombi Langu Kwa Mungu. Hivi karibuni martha mwaipaja kakutana na kashfa za kuto jali familia yake.[2]:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martha Mwaipaja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!