Martha Chol Luak Kok

Martha Chol Luak Kok ni mwanasiasa kutoka Sudan Kusini. Anatoka Kaunti ya Akobo.[1] Kufikia mwaka wa 2009, alikuwa kaimu spika wa Bunge la Jimbo la Jonglei. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Bunge la Jimbo la Jonglei mnamo mwaka wa 2010 kama mgombea wa orodha ya wanawake ya Chama cha National Congress Party.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martha Chol Luak Kok kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://books.google.co.tz/books?id=20CUs8wFEtUC&pg=PA207&redir_esc=y#v=onepage&q&f=false

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!