Maria T. Accardi ni msomi katika masuala ya sayansi ya maktaba katika Chuo Kikuu cha Indiana University Southeast.
Amepokea tuzo mbalimbali ikiwemo mwaka 2014 tuzo ya Association of College and Research Libraries (ACRL).[1][2][3]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria T. Accardi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|