Maria Naganawa(長縄 まりあ, Naganawa Maria, alizaliwa 5 Agosti 1995) ni mwigizaji wa sauti kutoka Meieki, Mkoa wa Aichi, Japani.
Anashirikiana na kampuni ya "I'm Enterprise Co." inayokuza waimbaji nchini Japani.
Filamu Alizoigiza
Anime
- 2017
- Miss Kobayashi's Dragon Maid - Kanna Kamui
- 2018
- Cells at Work! - Platelet
Video's
- 2017
- Azur Lane - USS Laffey
- Magia Record - Mito Aino
Viungo vya nje
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Naganawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|